18 Mar 2026 1:36 pm | Citizen TV 1,235 views Duration: 2:01 Waumini wa kiislamu kutoka Makongeni, Kaunti Ndogo ya Makadara jijini Nairobi wamelalamikia ukosefu wa mahali pa kuabudu baada ya msikiti wao wa pekee kubomolewa na ardhi hiyo kuchukuliwa na wawekezaji wa kibinafsi.