Wauwaji wa mwanariadha kufungwa miaka 35

  • | Citizen TV
    1,392 views

    Mahakama kuu ya Eldoret imewafunga kifungo cha miaka 35 gerezani wanaume wawili waliopatikana na hatia ya kumuua mwanariadha mzaliwa wa humu nchini Benjamin Kiplagat, ambaye alikua anakimbilia taifa la Uganda.