Wauzaji maji wa kibinafsi walaumiwa kwa uharibifu wa miundumsingi ya maji Garissa

  • | Citizen TV
    122 views

    Katibu katika wizara ya maji Kiprono Ronoh amewaonya wauzaji maji wa kibinafsi katika kaunti ya Garissa dhidi ya kuharibu miundumsingi ya maji ili kujinufaisha kibiashara.