Wauzaji muziki waombwa kufuata sheria ya malipo ya ada za leseni ili wasanii wapokee mrabaha

  • | KBC Video
    31 views

    Chama cha hakimiliki za muziki humu nchini, chama cha kutoa leseni kwa wasanii na kile cha watayarishaji muziki vimetoa wito kwa wauzaji muziki kufuata sheria ya malipo ya ada za leseni ili kuhakikisha wasanii wanapokea mrabaha unaostahili.wasanii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive