Wauzaji wa mnazi Kilifi walalamika kunyanyaswa na polisi wakisema pombe hiyo haina madhara

  • | K24 Video
    141 views

    Serikali ilitangaza vita dhidi ya pombe haramu na mihadarati nchini na kuanzisha upya operesheni katika maeneo tofauti ,jambo iliyosababisha kufungwa kwa maeneo mengi yaliyoendesha biashara ya uuzaji wa pombe haramu. Operesheni hiyo haijawasaza wanaouza pombe ya mnazi katka kaunti za pwani.