Wauzaji wa mnazi wasema pombe hiyo haina madhara

  • | Citizen TV
    756 views

    Mamia ya wafanyabiashara wa pombe ya mnazi kisiwani mombasa wamefanya maandamano kulalamikia kuhangaishwa na maafisa wa polisi wanaoendeleza msako dhidi ya pombe haramu na mihadarati. Wauza mnazi hao wanasema kuwa mnazi si pombe haramu ila kinywaji asili ambacho hakijaharamishwa na serikali.