Wavamizi wamuua mama katika kijiji cha kambi ya juu

  • | Citizen TV
    106 views

    Wakazi wa kijiji cha kambi ya juu, kaunti ya Isiolo, wamelalamikia kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama katika eneo hilo kufuatia shambulizi lililotokea usiku wa kuamkia jana ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 37 na mama wa watoto wanne alipigwa risasi na kuuawa, huku ng’ombe wake wawili wakijeruhiwa kwa risasi.