Wavulana wasusia elimu eneo la Nandi

  • | Citizen TV
    138 views

    Baadhi ya wadau wa elimu kaunti ya Nandi wamelalamikia kupungua kwa idadi ya wanafunzi wa kiume wanaojiunga na vyuo vya mafunzo anuai na taasisi za kiufundi katika kaunti hiyo.