Wavuvi na wachuuzi samaki walalamikia vikali kuhusu uchafuzi wa Ziwa Victoria

  • | K24 Video
    16 views

    Wavuvi na wachuuzi samaki katika kaunti ya Kisumu wanalalamika vikali kuhusu uchafuzi wa Ziwa Victoria, uliosababisha kufa kwa samaki wengi. Sasa wanaitaka mamlaka husika kuingilia kati ili kuhifadhi ziwa hilo na shughuli za ziwani kwa ujumla.