Wavuvi walioathirika na ujenzi wa bandari ya lamu kufidiwa

  • | Citizen TV
    508 views

    Wavuvi walioathirika na ujenzi wa bandari ya Lamu tangu bandari hiyo kuanza kujengwa mwaka 2016 ndio pekee watakaolipwa ridhaa. halmashauri ya bandari nchini KPA imesema itatoa fidia kwa wale ambao mahakama iliarisha walipwe. baadhi ya wavuvi wamekuwa wakilalamikia kuachwa nje ya orodha ya watakaofidiwa kama anavyoarifu rahma rashid.