Wavuvi wanatakiwa kuwekeza kwenye vyama vya ushirika

  • | Citizen TV
    64 views

    Washikadau katika sekta ya vyama vya ushirika wanawataka wavuvi pamoja na mabaharia kutoka pwani kujiunga na vyama vya ushirika ili kuanza kunufaika na mikopo kutoka hazina ya hustler ili kujiendeleza hasa wakati huu ambao makali ya uchumi yanaonekana kuwa changamoto kwa biashara nyingi nchini.