Wavuvi wawili wauwawa mpakani katika ufuo wa Marenga

  • | Citizen TV
    270 views

    Wavuvi wawili kutoka ufuo wa marenga eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia wameripotiwa kupigwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Uganda wanaothibiti uvuvi katika ziwa Victoria.