Wavuvi zaidi ya 200 katika kaunti ya Lamu wapewa vifaa salama vya uvuvi

  • | Citizen TV
    273 views

    Wavuvi zaidi ya 200 katika eneo la Kiunga kaunti ya Lamu wamepewa mitego mbadala ya kuvua samaki yakiwemo majarife na mishipi huku mitego yao ya zamani aina ya Juya iliyopigwa marufuku ikiondolewa. Kulinga na idara ya uvuvi, majuya hunasa samaki wadogo wasiopaswa kuvuliwa.