Wawakilishi Nairobi wamshutumu kiongozi wa wengi Peter Imwatok

  • | Citizen TV
    1,106 views

    Vita vya maneno vilishuhudiwa huku nusra wawakilishi wodi wa Nairobi warushiane makonde kufuatia mzozo wa uwakilishi kwenye mkutano wao wa kila mwaka. Baadhi ya wawakilishi wodi wakimshutumu kiongozi wa wengi bunge la Nairobi Peter Imwatok kwa kile wanasema ni njama ya kuzima maoni yao kwenye mkutano huo