Wawakilishi wa madaktari wasema mgomo utaendelea

  • | Citizen TV
    507 views

    Madaktari sasa wanashikilia kuwa wataendelea na mgomo wao, licha ya baadhi ya kaunti kuwasimamisha kazi baadhi ya wenzao wanaogoma. Chama cha Madaktari nchini KMPDU kimesema kuwa hakitatishwa na vitisho vya serikali, na kushikilia kuwa watarejea kazini tu pindi serikali itakapotekeleza matakwa yao.