Wawakilishi wadi wa Kilifi wasitisha vikao vya bunge baada ya mmoja wao kukamatwa

  • | Citizen TV
    442 views

    Wawakilishi wadi wa Bunge la Kaunti ya Kilifi wamesitisha Shughuli za bunge hilo hadi mmoja wao aliyekamatwa aachiliwe.