Wawakilishi wadi waishi kwa hofu ya kuvamiwa Laikipia

  • | Citizen TV
    178 views

    Wawakilishi wadi kwenye bunge la kaunti ya laikipia walisitisha shughuli za bunge hilo wakilalamikia kuongezeka kwa visa vya ujambazi wakisema kuwa wanataka kikao na Waziri wa usalama wa ndani Kithure kindiki ili wampashe hali ilivyo mashinani.