Wawakilishi wadi wakosa kufika bunge la kaunti la Kilifi

  • | NTV Video
    524 views

    Kulizuka hali ya kutamausha kwa bunge la kaunti ya Kilifi hapo jana, pale ambapo baadhi ya viti vya wanabunge wakiwemo wawakilishi wadi viliposalia vitupu wakati wa kikao maalum cha kamati ya uangalizi kuhusu matatizo yaliomo ndani ya idara ya afya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya