Wawakilishi wodi 68 kati ya 69 waunga mkono hoja kumwondoa mamlakani Gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    2,683 views

    Hoja ya kumwondoa mamlakani gavana wa Meru Kawira Mwangaza imewasilishwa katika bunge la kaunti ya Meru huku mwawakilishi wodi mmoja pekee akikosa kuidhinisha hoja hii .