Wazalishaji wa muziki wajifunze zaidi kuhusu haki zao

  • | BBC Swahili
    268 views
    Awadh Salim Awadh maarufu kama @shirkomedia ni mtayarishaji wa muziki kutoka Mombasa nchini Kenya, lakini muziki wake ni maarufu sana nchini Tanzania. Miongoni mwa wasanii waliopitia katika mikono yake ni Yamoto Band, 2 berries, Tanasha Dona, Diamond Platinums na wengine wengi. Akiongea na BBC Jijini Mombasa amegusia suala la wazalishaji wa muziki kujifunza zaidi kuhusu haki zao ili nao waweze kunufaika na Kazi zao, kwani wengi huishia kupata majina makubwa bila kupata kipato stahiki. ✍️: @dzunguabdallaseif 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #mombasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw