Wazazi eneo la Kuria waonywa dhidi ya kufurusha walimu kwa kigezo cha matokeo duni

  • | KBC Video
    4 views

    Wazazi katika eneo la Kuria wameonywa dhidi ya kuchochea ghasia dhidi ya walimu kwa kigezo cha matokeo duni ya mitihani. Hali kadhalika viongozi wa kisiasa na wakuu wa elimu katika eneo hilo wameahidi kuhakikisha hatua kali zinachukuliwa kwa mzazi yeyote atakayewaoza wasichana wanaopaswa kuwa wakienda shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive