Wazazi katika kaunti ya Garissa wasiopeleka watoto wao shuleni kushtakiwa

  • | KBC Video
    23 views

    Wazazi katika kaunti ya Garissa ambao hawawapeleki watoto wao shuleni huenda wakatiwa mbaroni na kushtakiwa. Serikali ya kaunti hiyo ilitoa agizo hilo baada ya kubaini kwamba zaidi ya watoto laki 160 katika kaunti hiyo hawahudhuri masomo kwani familia zao huhama kila mara kutafuta maji na malisho ya mifugo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News