Skip to main content
Skip to main content

Wazazi kaunti ya Samburu wahimizwa kuwalinda watoto dhidi ya ukeketaji na ndoa za mapema

  • | Citizen TV
    71 views
    Wakati shule zikifungwa kwa likizo ndefu, wazazi katika kaunti ya Samburu wanahimizwa kuwafuatilia kwa karibu watoto wao, hususan wasichana, ili kuwalinda dhidi ya ukeketaji, mimba za utotoni na ndoa za mapema.