Wazazi kutoka Kaunti ya Narok wahimizwa kuwapeleka watoto kwa chanjo

  • | Citizen TV
    80 views

    Serikali kuu imehimiza wakaazi hasa wazazi wanaoishi na watoto wadogo maeneo ya Narok Kaskazini na Kusini kuhakikisha wanapata chanjo dhidi ya magonjwa ya Surua,Homa ya Matumbo na Ukambi