Wazazi Malindi warishishwa na mpango mpya

  • | Citizen TV
    165 views

    Wazazi katika eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wameridhishw ana mfumo mpya wa kugawa fedha za basari eneobunge hilo wakisema kuwa unahakikisha usawa na kuondoa ufisadi.