Wazazi na wanafunzi kutoka jamii za wafugaji wafaidi kutokana na fidia ya kaboni

  • | Citizen TV
    956 views

    Wazazi na wanafunzi kutoka jamii za wafugaji katika maeneo ya nasuulu, Ol Donyiro na Biliqo Bulesa kaunti ya Isiolo wamefaidika na mapato ya kaboni kutokana na jitihada zao za kuhifadhi mazingira.