Wazazi na watoto jijini Nairobi kusahau changamoto na wakumbatie elimu ili kuwapa msingi maishani

  • | NTV Video
    81 views

    Na kwenye taarifa inayofungamana na hiyo, wazazi na watoto katika mitaa ya mabanda jijini Nairobi wamehimizwa kusahau changamoto wanazopitia na wakumbatie elimu inayofaa kuwapa msingi wa maisha na kubadilisha mustakabali wa maisha yao .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya