Wazazi wa shule ya kaptumo wakatiza shughuli shuleni

  • | Citizen TV
    1,194 views

    Wazazi wenye ghadhabu wamefunga lango la shule ya msingi ya kaptumo iliyoko Baringo ya kati wakilalamikia hatua ya wizara ya elimu kutosajili shule hiyo kwa elimu ya JSS licha ya shule hiyo kupokea vitabu kotoka wizara.