Wazazi wa shule ya msingi ya Mabasi wanateta uongozi mbaya

  • | Citizen TV
    81 views

    Wazazi Katika shule ya msingi ya Mabasi Katika eneo bunge la Bureti Kaunti ya Kericho wanamtaka mwalimu mkuu wa shule hiyo kuondoka kwa madai ya uongozi mbaya