Wazazi wa shule ya upili ya Shimo la Tewa waandamana Mombasa

  • | Citizen TV
    341 views

    Wazazi Wa Shule Ya Upili Ya Shimo La Lewa Wameandamana Jijini Mombasa Kulalamikia Usimamizi Mbaya, Matokeo Duni Na Ubadhirifu Wa Fedha Miongoni Mwa Masuala Mengine Shuleni Humo. Mwalimu Mkuu Wa Shule Hiyo Amekana Madai Hayo Akisema Kuwa Ni Njama Ya Kumharibia Jina. Francis Mtalaki Anaarifu.