- 358 viewsDuration: 2:00Baadhi ya wazazi waliopoteza fedha zao kupitia mpango uliokumbwa na sakata wa kuwapeleka wanafunzi kusoma nchini Finland na Canada katika Kaunti ya Uasin Gishu wanaendelea kulilia haki kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Nakuru kuwaachilia huru Seneta Jackson Mandago na washtakiwa wengine wawili waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka yanayohusiana na sakata hilo la zaidi ya shilingi bilioni.