Wazazi waandamana kulalamikia matokeo mabaya shuleni

  • | Citizen TV
    339 views

    Shughuli za masomo zilisitishwa mapema ijumaa hii katika shule ya upili ya Olereto kule transmara magharabi baada ya wazazi kuandamana hadi ndani ya shule hiyo kutokana na matokeo mabaya ya mitihani kwa takriban miaka kumi sasa. Shule hiyo ya mseto ilipata alama ya wastani ya 1.5.