Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wahimizwa kuwalea wana wao kwa misingi ya kidini

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:17
    Wazazi katika kaunti ya Busia wamehimizwa kuwalea wana wao katika msingi wa kidini, kama njia ya kukabiliana na dhuluma katika familia. Visa vya dhulma za kijinsia vinazidi kushuhudiwa katika kaunti ya Busia eneo bunge la Nambale likiongoza. Wanandoa wametakiwa kutafuta ushauri wa mara kwa mara wanapozozana.