Wazazi waingiwa na wasiwasi kuhusu mgomo wa walimu

  • | Citizen TV
    454 views

    Wazazi kutoka kaunti ya Homa-Bay sasa wanaomba suluhu ya haraka ya mgogoro kati ya serikali na walimu ili masomo yasiathirike shule zitakapofunguliwa wiki ijayo. Chama cha walimu KNUT tawi la Homa-Bay kimesema hakitaruhusu masomo kuendelea iwapo serikali haitatimiza matakwa yao.