Wazazi walio na watoto wasio na uwezo wa kusiki wameanza kutafuta mbinu za kuwasaidia wana wao

  • | K24 Video
    236 views

    Wazazi walio na watoto wasio na uwezo wa kusikia sasa wameanza kutafuta mbinu za kuwasaidia wana wao ili kufaulu katika ulimwengu wa sasa ambapo teknolojia imeleta ushindani mkali. hayo yamejiri wakati wa kongamano lililowaleta pamoja wazazi walio na watoto wenye ulemavu huo, jopo la wataalamu wa maongezi, sauti na lugha katika eneo la Basecamp huko ngong kaunti ya Kajiado. Wazazi wengi hawana ufahamu kwamba kuna njia za kukabiliana na ulemavu huo.