Wazazi waliolazimika kuingia shuleni na kupiga foleni ilikupata chakula wapokea chakula cha msaada

  • | K24 Video
    124 views

    Wazazi kutoka eneo la ufugaji la ilbisil kaunti ya Kajiado waliolazimika kuingia shuleni na kupiga foleni ilikupata chakula cha mchana na wanafunzi angalau kukabiliana na maumivu yao ya njaa wamepata kila sababu ya kutabasamu baada yao kupokea chakula cha msaada kutoka kwa shirika binafsi la bright Maasai adventures ambalo lilizuru familia hiyo na kuifadhili na kilogramu 500 ya magunia ya mchele, mifuko thelathini ya mafuta ya kupika na mifuko thelathini ya unga wa ugali.