Wazazi waliopoteza wanao katika maandamano ya Juni 2024 wazidi kulilia haki mwaka mmoja baadaye

  • | NTV Video
    721 views

    Mwaka mmoja baada ya maandamano ya Juni 25, 2024, wazazi wa waliowapoteza wanao katika maandamano hayo wamebeba maumivu na huzuni hizo hadi leo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya