Wazazi, wanafunzi na wachukuuzi waachwa kwenye mataa baada ya kuahirishwa kwa shule kufunguliwa

  • | TV 47
    132 views

    Jiji la Nairobi hii leo ilijawa mchanganyiko na mahangaiko kutoka kwa wanafunzi, wazazi na wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi kufuatia uamuzi wa wizara ya elimu usiku wa manane kuahirisha tarehe za kufungua shule na kuwaacha wazazi na sekta ya uchukuzi wakilalamikia changamoto ambazo zimesababishwa na agizo hilo.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __