Wazazi washauriwa kuwalinda watoto wakati wa likizo

  • | Citizen TV
    72 views

    Huku Shule zinapokaribia kufungwa kwa likizo ya mwezi agosti, wadau mbalimbali katika sekta ya elimu eneo la Gusii wamewashauri wazazi kutotelekeza wana wao ili kuwaepusha na madhara mbalimbali msimu huu wa likizo