- 228 viewsDuration: 52sMwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika shirika la UN-Habitat, Susan Nakhumicha, amewahimiza wasichana kutia bidii katika masomo yao ili kufanikisha ndoto zao huku akiwakashfu baadhi ya wazazi ambao hawathamini elimu ya mtoto wa kike.