Wazazi wawili huko Rotian Narok wametiwa kizuizini kwa mashtaka ya kuwatesa watoto wao wawili

  • | TV 47
    16 views

    Wazazi wawili huko Rotian Narok kaskazini wametiwa kizuizini kwa mashtaka ya kuwatesa watoto wao wawili kwa kuwapiga, kuwachoma na kuvunja mmoja wao mikono. Inasemekana wawili hao wamekuwa wakiwachoma watoto wao mara kwa mara kwa kula sukari na kuchafua nguo zao

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __