Wazee na kina mama kutoka Tabaka wazamia uchongaji sanamu ili kujiimarisha kiuchumi

  • | Citizen TV
    290 views

    Wazee na kina mama katika maeneo ya Tabaka kaunti ya Kisii wamezamia uchongaji sanamu kama njia mojawapo ya kuvutia watalii na kujiimarisha kiuchumi. wazee hao wanawashauri vijana ambao hawajapata nafasi za kazi kukumbatia uchongaji vinyago ili kujikimu kimaisha.