- 326 viewsDuration: 3:27Vita na mizozo baina ya jamii hasimu katika eneo lenye utata la Bonde la Kerio na kwenye mpaka wa Kenya na Uganda huenda vikafikia kikomo baada ya wazee na washikadau wa amani kuweka mikakati na kuanzisha juhudi za kukomesha uhasama na wizi wa mifugo kwa lengo la kuimarisha amani. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya