Wazee wa Garisa wamtetea mbunge wa Dadaab Farah Maalim

  • | KBC Video
    16 views

    Wazee katika kaunti ya Garissa wamejitokeza kumtetea mbunge wa Dadaab Farah Maalim kuhusiana na mzozo unaoendelea katika chama Wiper na kesi katika tume ya uwiano na mshikamano wa kitaifa.Wazee hao wanataka kamati kuu ya chama cha Wiper kubatilisha uamuzi wake wa kumuondoa Maalim kutoka chama hicho kuhusiana na matamashi ya chuki yalionakiliwa kwenye video iliyosambaa mitandaoni. Wazee hao wamesema haikuwa vyema kwa baadhi ya Wakenya na vyama vinavyoegemea upinzani kumshutumu mbunge huyo kabla ya uchunguzi kufanywa na maafisa husika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive