Wazee wa jamii Pokot na Marakwet waandaa mkutano wa suluhu

  • | Citizen TV
    196 views

    Wazee kutoka jamii za Pokot na Marakwet wameandaa mkutano wa kutafuta mwafaka wa amani kati ya jamii hizo mbili, ambazo zinakabiliwa na uhasama wa mvutano wa rasilimali.