Wazee wa jamii ya Tachoni kuendeleza sherehe za Jandoni licha ya korona

  • | West TV
    Huku janga la korona likiendelea kulemaza shughuli za kawaida katika maeneo mbalimbali ya nchi, wazee wa jamii ya Tachoni wamejitokeza na kudai kuwa sherehe ya kuwatoa watoto jandoni baada ya tohara itaendelea licha ya hali ya sasa nchini