Wazee wa Kipsigis wakutana na vijana Kericho ili kuzungumzia nidhamu ya maandamano

  • | Citizen TV
    881 views

    Wazee wa jamii ya Kipsigis wamefanya mkutano na wawakilishi wa vijana kutoka wadi zote za Kaunti ya Kericho ili kuzungumzia nidhamu ya maandamano katika juhudi za kuimarisha amani na kuzuia uharibifu na uporaji wa Mali za umma.