Wazee wa Kipsigis wataka kuhusishwa kwenye mchakato wa kutwaa ardhi ya ekari 1,000

  • | Citizen TV
    523 views

    Wazee wa jamii ya Kipsigis wanataka jamii ihusishwe kwenye mchakato wa kutwaa ardhi ya ekari 1,000 ya kampuni za majani chai kwa minajili ya kupanua mji wa Kericho. Hatua hii inajiri baada ya Rais William Ruto kusema kuwa serikali itatwaa ardhi hiyo kutoka kwa kampuni za Uingereza za chai kwa upanuzi wa mji huo.