- 246 viewsDuration: 2:02Baraza la Wazee wa Njuri Ncheke wameonya dhidi ya misemo na matamshi ya kugawanywa njamii ya wameru kwa misingi tofauti za ndimi za Meru na Tharaka wambao ni wa Kabila Moja. Wazee hao wameeleza kuwa matamshi ya wanasiasa yameanza kuleta mgawanyiko na huenda yakaleta chuki kati ya Wameru wanaoishi Kaunti ya Tharaka Nithi na wale wanaoishi kaunti za Meru, na Isiolo.