Wazee waanza kuwahusisha wanaowania ubunge

  • | Citizen TV
    162 views

    Baraza la wazee kutoka vijiji mbali mbali eneo bunge la Kasipul wameanza mchakato wa kuwaandaa viongozi wanaojitokeza kuwania kiti cha eneobunge la Kasipul kwenye uchaguzi mdogo ujao.